Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Mbona sioni Mashabiki Wa Bacrca humu Wakitutishia Messi?
Kwani katika hizo on tatget messi anafunga ngapi ili nikayafukuze hayo machezaji mazembe mengineAgainst liverpool: 7 shots on target, 0 goal
Against Getafe: 8 shots on target, 1 goal ukiachana na hilo own goal.
Our frontline is now too blunt to win without Messi magics!
Messi alishakufaga kimebaki kivuli chake tuHahah ww umemsahau messi alipiga 4 peke yake
"Ngoja nikalipize kisasi kwenye play station niwapige Liva mia kudadadeki zao".Hahaha!! alisikika mlevi mwenye hasira akiongea peke yake
Umemaanisha second leg liverpool anashida 200:0?second leg liverpool120-0barcelona
Umemaanisha second leg liverpool anashida 200:0?
Haha
Haha io sasa itakuwa third legNdio mkuu!ahsante kwa kurekebisha
Mnatumia akili gani kumpanga dembele wakati ndyo aliyetu cost game ya Liver Kwa kukosa clear chanceWith static 32yo king Messi View attachment 1097155
Kati ya Dembele na Suarez ni yupi amekosa clear chances nyingi?Mnatumia akili gani kumpanga dembele wakati ndyo aliyetu cost game ya Liver Kwa kukosa clear chance
Coutinho aende ATM kama akihitajika.. Mzee wa madongo amefeli CAMP NOUGriezmann to Barca???View attachment 1097153