kwa ma left back, kwenye kuattack Alba ni noma. Marcelo hagusi.Kocha anampenda Jordi Alba hadi anamtengenezea mazingira awe free player left wing
Amemleta beki Lucas Digne ili akabe yeye acheze sana roles za kushambulia kuna kila dalili Griezman ataletwa
Nilisema hiyo. Kazi imeishaNaona goli LA Messi10 au Dembele kabla mpira kuisha
Wewe ni nabii aisee.Naona goli LA Messi10 au Dembele kabla mpira kuisha

Nabii wa football kasuuza buti nae.. safi sanaHhhhhhhh kazi nzur king messi![]()
![]()
![]()