FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kuna muda makocha wanapanga mchezaji kwa mapenzi kiukweli gomes hajafikia hata robo ya kiwango alichokua nacho tiago alcantara kipindi tunamuuza ila tumekuja kutupa hela ya bure kwa hili garasa la kireno ambalo halina madhara
Hatari sana mkuu, hata Enlique alikuwa anampenda balaa
 
kuna muda makocha wanapanga mchezaji kwa mapenzi kiukweli gomes hajafikia hata robo ya kiwango alichokua nacho tiago alcantara kipindi tunamuuza ila tumekuja kutupa hela ya bure kwa hili garasa la kireno ambalo halina madhara
Me nilijua ninaloliona hilo ni alone

Garasa la kireno hili halichelewi kujipiga chenga hili
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…