Kwa mwendo huu wale ndugu zetu wa upande wa pili, sijui wamesahau namna ya kucheza mpira?
Sijui wanacheza vibaya vibaya kocha hawamtaki (mgomo baridi) ?
Yaani wakifika eneo LA 18 kama hawauoni Mpira yaani...!!
Droo tena Leo au kushinda/kufungwa kwa kigoli kimoja...!!!
Kwa mwendo huu sijui UCL kama watapita hatua ya 16 bora...!!!
NB: WAEENDELEE HIVYO HIVYO ILI ZIDANE AVUNJE REKODI NYINGINE YA MAANA KWA REAL MADRID YA KUSHINDWA KUCHEZA UEFA MSIMU UJAO...