FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Siku Akistafu huyu Mnyama, Viwanja vyote vya mpira duniani vitakuwa kama vimeungua na kuteketea kwa moto. Yaani mpira wa miguu hautakuwa na maana tena nafikiri...Lionel messiah hahaha huyu jamaa huwa nikikosa kazi nazama zanyu YouTube naangalia mambo yake ananikosha sana...
Akistaafu soko nitakuwa heart broken sanaa
Simply an Alien...Messi is not man...
Messi is from a certain heaven
Messi is from sky
Mwite Mosquito ukipenda...DEMBELEEEEEEEEE
Kweli kabisa MkuuDembele ana vitu amazing, ambavyo ulimwengu wa soka unakuja kuviona, tumpe muda, jana japo hakufunga kapiga kaz nzuri
Kuna watu watakufa na pressure ujue.Akae mpaka miaka 40 huyo bwana Messi ballon d'or si......ngoja niishie tu hapa
Yaani mwisho kushinda ni 40,000/=!!!!!!....,Pambana na hali yako ndugu!!!!...JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.
MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
M uyu m2 nna matumaini naye makubwa sana tofauti na watu wengi hope hatoniangushaMwite Mosquito ukipenda...
Ulitulia umeaza tana vurugu zako sioJIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.
MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
Ulitulia umeaza tana vurugu zako sio
Yerry Mina goes barefoot to step onto the Camp Nou pitch for the first time—a show of respect he does every time joins a new side
View attachment 674637
Duuh jamaa kapanda hewani mbaya, Mimi nambatiza kwa jina la "Tall Mnyama"Yerry Mina goes barefoot to step onto the Camp Nou pitch for the first time—a show of respect he does every time joins a new side
View attachment 674637
1.95 M, kuna mnyama kwenye LA laiga ana 2.02 MDuuh jamaa kapanda hewani mbaya, Mimi nambatiza kwa jina la "Tall Mnyama"
New Eric AbidalDuuh jamaa kapanda hewani mbaya, Mimi nambatiza kwa jina la "Tall Mnyama"
Jamaa aerial battle zote anawin yeye, offensive yuko vizuri na defensive na tackling ndio mahali pakeDuuh jamaa kapanda hewani mbaya, Mimi nambatiza kwa jina la "Tall Mnyama"
Mwezi wa pili waliopangwa na Barca kama nawaona vile mioyoni ..Hii ndiyo mida ya King kuanza pilika pilika zake za kufunga 3 alone..ngoja tuone