Tetesi
Barca yataja bei ya shabaha ya Inter Deulofeu
Barcelona wameiambia Inter Milan kuwa ni lazima kiasi cha €18-20 milioni kilipwa ikiwa wanataka kumsajili Gerard Deulofeu, kimeripoti Sport
Winga huyo ameshindwa kuonyesha uwezo kwenye kikosi cha Barcelona na usajili wa Coutinho na Dembele unaashiria kwamba hatapata nafasi.