FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

MSN imedumu miaka 3 lakini ndani ya hiyo miaka 3 wamechukua champions league Mara 1 Madrid kachukua Mara 2
 
Na BBC imedumu miaka mingapi?wamechukua laliga mara ngapi?
Kabla ya yote Benzema ana magoli mangapi laliga?UCL?
Mko nafasi ya ngapi league?
Madrid kipaumbele chetu ni ligi ya mabingwa,kwa taarifa yako Madrid imechukua ubingwa wa ulaya Mara 12 sawa na timu zote za English league.
Man u (3),Liverpool (5),Nottingham(2),Chelsea(1) na Aston villa(1)
 
Real Madrid imechukua ubingwa wa ulaya idadi sawa na uwajumlishe Barca(5),Bayern Munich(5) na juventus (2)
 
Nlichokiona kwa coutinho ni kwamba amewaza na kuwazuwa kwamba liverpool wanashiriki UEfA lakn safari yao haiko mbali so hatovaa medal mwaka huu akiwa na liverpool akaona ni heri akavae ya laliga wakat anajiandaa kucheza UEFA mwaka akiwa na Barcelona chama la wana.
 
Real Madrid imechukua ubingwa Mara 12 idadi sawa na taifa lote la Italy,Ac Milan(7),inter Milan (3),juventus(2)
 
Madrid kipaumbele chetu ni ligi ya mabingwa,kwa taarifa yako Madrid imechukua ubingwa wa ulaya Mara 12 sawa na timu zote za English league.
Man u (3),Liverpool (5),Nottingham(2),Chelsea(1) na Aston villa(1)
Weee kipaumbele kitakuaje league ambayo unatakiwa u qualify home league?

Sasa bakia nafasi ya nne kama utacheza UEFA
 
Weee kipaumbele kitakuaje league ambayo unatakiwa u qualify home league?

Sasa bakia nafasi ya nne kama utacheza UEFA
Nikikupa records za real ulaya utalala mapema bure
 
Yote tisa ina maana NIKE,waliijua hii transfer before,au wameshiriki kumleta Courtinho Barcelona-kweli we live in a world of murky shady deals.Nakumbuka Nike wamewahi ilazimisha Brazil imchezeshe mchezaji mgonjwa katika final ya kombe la dunia
 
Hawa NIKE walitangaza usajili wa Pogba siku mbili kabla
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…