Asante kwa kunitoa tongotongoYah, ni sheria ya UEFA, kama mchezaji katoka club inayoshiriki UCL na akahamia club nyingine ambayo nayo inashiriki UCL hatoruhusiwa kucheza
[emoji13] [emoji13] [emoji23] gemu gemu2.......kuna vitu vingi tu kwenye gemu ambavyo in reality havipo...mfano muda wa adhabu ya kadi..Daah haina noma lakini,
Tutapambana tu.
Niulize tu. Sasa mbona kwenye games kama fifa ikitokea umesajili mchezaji katikati ya msimu uwa anaendelea kucheza na magoli yake kama amefunga yanaendelea kuhesabika hii sheria ni mpya au ndo games are just the games [emoji1] [emoji1]
Kwa kweli anaipenda Barça. Kalipa fedha kutoka mfukoni kuwezesha usajili na bado kayaacha maneno ya Wabrazil wenzake kina De Lima, NeymarI was kidding bana yeah its the matter of time achezee team anayoipenda sana duniani na mbinguni
Duuhh bora aje, ili hawa akina Gomez waondokeHivi tunavoongea yuko jetting to Barca...
Yeah Akina Arda, Gomes, Delouf, watasepaDuuhh bora aje, ili hawa akina Gomez waondoke
Gomez simpendi anafata huyu DefueYeah Akina Arda, Gomes, Delouf, watasepa
Gomez simpendi anafata huyu DefueYeah Akina Arda, Gomes, Delouf, watasepa
Yeah hawa jamaa wanatakiwa wakaruke ruke timu zingine huko, tumewachoka. Gomes mzee wa kupaisha hata kama yuko umbali wa mita 10 tu kutoka golini. Delouf yeye ni mzee wa kukimbia kimbia tu nabingwa wa kupoteza mipira na kuwapa maaduiGomez simpendi anafata huyu Defue
Kwa tetesi Denis na Rafihna wanaweza kuwa "loaned" na siyo kuuzwa.Sitaki Suarez mdogo auzwe ana natural tarent
Itunze matakoni ndyo itakaa freshh
Naona unatoboa siri za mzee wako
hapa sergio manchester inahusika vip? tuyaache hayo tushasalimiana amani mkuu.Waopenda issue za ushoga ni mashabiki wa Manchester united kwaiyo sikushangai mkuu
Mkuu upo vzr sana...ndo mama yako anakotunzia vitu vya kupikia nyumbani kwenu nn?