FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona players wengi wanakuja kwa ajili ya loyalty thanks kwa Coutinho amelipa kiasi cha fedha za uhamisho this is extraordinary passion kwa Barcelona
Benfiddo....
You are welcome home
Since ulichezea espanyol jiji la barcelona hautakua mgeni kazi inaanza mara moja
Happy happy
 
Mkuu this time tutachomana visu kwa udanganyifu
Maoni ya mdau 1 huko kwa social network.

"Its a done deal folks, Coutinho is jetting out to spain today and will watch our match with Levente tomorrow.Congratulations to all cules world-wide!!!"
 

naitunza hii.
 
Ndo hivyo
Daah haina noma lakini,
Tutapambana tu.

Niulize tu. Sasa mbona kwenye games kama fifa ikitokea umesajili mchezaji katikati ya msimu uwa anaendelea kucheza na magoli yake kama amefunga yanaendelea kuhesabika hii sheria ni mpya au ndo games are just the games

Ndio, ni kwa sababu ameshacheza mechi za UCL akiwa na Liverpool msimu huu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…