FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread



Siku sio nyingi utarudi kule ulikojificha hizi wiki mbili.

No hard feelings though!


Mi nipo JF kila siku, nimesema sikujificha kipindi Real Madrid ilitoka Trophyless, ntajificha leo wakati wamebeba silverware 5 ndani ya mwaka mmoja? May be you don't know what you're talking about.
 
Kwenye "Barcelona Live App" pia nimeona. Kuna Gazeti moja LA Spain ndiyo limevujisha taarifa hiyo. Club ya Barcelona imegoma kutoa ufafanuzi wowote juu ya taarifa hiyo sababu mkataba ni siri. Inasemekana ni moja ya kipengere kilichopo ktk mkataba huo
Ikitokea hata kwa quality ya Barcelona itacheza league kubwa like EPL au France worry about that
What i know msione serikali ya Spain ipo kimya ila politically wana influence kubwa sema catalonia nahisi wanataka recognition tu kama federation kwenye serikali kuu ya Spain(kama ilivyo Zanzibar hapa kwetu)
 
Daah Mkuu Umefika mbali sana. But Coutihno muda wowote tutasikia "official news" ya kutua kwake....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…