FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu Ramos kwanini afuati nyayo za Pique?? cool,calm and composed.Ramos ilikuwa huruma ya refa-kile kibao alichompiga Suarez ilikuwa straight red
Ndo nature yake huyo.
Ubabe ubabe tu wakipuuzi.
Haendani kabisa na talented Pique.
Sielewi hata kwa nn wametengeneza pacha Spain kwa muda mrefu hivyo.
Ni watu wawili tofauti kabisa
 
Habari zenu Wakuu! Hongereni kwa ushindi murua kabisa, nilipenda saaana kushinda humu ndani na kwenda kuchafua jukwaa la Madrid ila kwa sasa simu yangu kimeharibika, nadunduiza ili nipate pesa nikanunue. Kila la heri wakuu, salamu ziwafikie chelsea, na msimu ujao tutakua moto saaana maana nnaamini Coutinho atatua Camp Nou. Heri ya Christmass na Mwaka mpya.
 
Pole sana, I hope you will be back very soon. Allah afungue milango yako ya riziki halali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…