FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembele will miss up to 4 month. Get well soon and build those muscles

a01582ce18b5366074ded2a246c7f885.jpg
 
Yameshamfika huko alikokimbilia!
Kwa hali hii lazima umkumbuke Messi.
 
Attachments

  • VID-20170918-WA0004.mp4
    2.7 MB · Views: 21
Yameshamfika huko alikokimbilia!
Kwa hali hii lazima umkumbuke Messi.
Ni maombi yangu tu kuwa wasije wakaja kupigana uwanjani ,najua kuna siku mmoja yatamfika tu shingoni.

Kocha wake,kutokana na maneno aliyosema baada ya mechi, inaonekana hana mamlaka/uwezo ya kuamua main man awe nani na ametaka wahusika wakae chini wakubaliane nani awe anacheza mipira iliyokufa.
 
Sijui kwanini watu wengi wenye pure talents kama ya messi, Pele, iniesta, ronaldinho gaucho wako humble, friendly and submissive saana. Huwezi kukuta moja kati ya hawa magenius wanagombea mafree kick au penalty...hapana!

Lakini watu ambao sio pure talented huwa wanahaha sana kama neymar jnr analazimisha mafanikio bila kujua kama huko talented and blessed kila kitu huwa kinakuja automatically and uncontrolled.

You can't force free kick and set pieces ili uabudiwe kwenye team...hell no! Namuunga mkono Cavani ambanie kabisa maana asijifanye faza wakati kawakuta mafaza malegendary akina Cavani na walivumilia shadow ya cadabra before ili wapige free kick na penalty leo hii ilikuwa mpaka ibrahimovic awe na injury.
 
Sijui kwanini watu wengi wenye pure talents kama ya messi, Pele, iniesta, ronaldinho gaucho wako humble, friendly and submissive saana. Huwezi kukuta moja kati ya hawa magenius wanagombea mafree kick au penalty...hapana!

Lakini watu ambao sio pure talented huwa wanahaha sana kama neymar jnr analazimisha mafanikio bila kujua kama huko talented and blessed kila kitu huwa kinakuja automatically and uncontrolled.

You can't force free kick and set pieces ili uabudiwe kwenye team...hell no! Namuunga mkono Cavani ambanie kabisa maana asijifanye faza wakati kawakuta mafaza malegendary akina Cavani na walivumilia shadow ya cadabra before ili wapige free kick na penalty ilikuwa mpaka ibrahimovic awe na injury.
Why would we have to simpathise this kid for being denied a penalty??? Because i remember he said that he went to join PSG in quest for a new challenge and that was ok with us. So there is Cavan giving him that challenge of his dream and i hope he enjoys it just like he did with his transfer saga in the last summer when he made the entire board and fanbase of FCB around the world get heart broken by his move.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom