FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Yaani Suarez kawa jipu cjui kama atabadilika kakosa magoli ile game tulikuwa tunasawazisha..
Lakini pia ilikuwa mechi powa sana kwani itakuwa chachu ya kuharakisha usajili wa wachezaji wazuri...
Sent using Jamii Forums mobile app
"Life+time"...
Sent using Jamii Forums mobile app
