Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,119
mkuu wew unamtetea sana Ramos kma ni bora na pique mbovu mbona kila eliclasico miaka ya karbuni barca inashinda na Ramos anafanya utoto ambao hata varane haufanyi inshort uimara wa ramos unaouona ww ni wa game za EIBAR cio?
Hapa nilikuwa namgusia pique na sio Ramos,simaanishi kwa upande Wa Ramos yupo clear...hapana ata nayeye anamapungufu yake pia na ndio maana walipoteana kwenye kombe la dunia [HASHTAG]#2014[/HASHTAG] in brazil for spain vs hollande na kama unakumbuka goli mbili za mwisho za netherland...ilikuwa ni matter of defence baina yao(Pique & Ramos)...nitatafuta ile clip ya ile match then tuicheck vizur na utagundua something terrible ilikuwa kwenye defence ya spain, Swala la Ramos kupotea kwenye classicos nyingi niyeye mwenyewe tu huwaga na unnecessarily panic hasa Real wakitanguliwa goli na Barca!