BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Barca nyanyaa tu
Mkuu Subiri nou camp. Umesahau zile 6, alaf masema tunabebwa.
Barca nyanyaa tu
Kamewavua nguo watu wazima aisee!!
JANA JUVE KABEBWA ILA .WATU KIMYA NA REFA NI MZURI
ILA WAKIJA NYUMBANI WAKISHUGHULIKIWA MNAANZA KELELE TUMEBEBWA
Tunawataka Bayern SEMI FINAL
Endelea kujichekesha Juventus sio wasindikizaji kama PSG,na hii,Barcelona ya sasa ni mbovu
Huwa siku hizi sina imani na mascherano kabisa
JANA JUVE KABEBWA ILA .WATU KIMYA NA REFA NI MZURI
ILA WAKIJA NYUMBANI WAKISHUGHULIKIWA MNAANZA KELELE TUMEBEBWA
Tunawataka Bayern SEMI FINAL
maombi yangu leo mshinde ili nusu iwe R.MADRID vs BARCALabda semi final ya msimu ujao.
My prediction for the next game tunawatoa kamasi 5__0 mtaamini maneno yangu
Hakika mkuuhahahaaMadrinyonyo akishinda nyingi home or home away.cc wanaBarca. Why Hatusemi mnabebwa?
Ngoja sasa nou camp tutawashikisha adabu, najua mtakuja na visababu vyenu hapa.
maombi yangu leo mshinde ili nusu iwe R.MADRID vs BARCA
hahahaaMadrinyonyo akishinda nyingi home or home away.cc wanaBarca. Why Hatusemi mnabebwa?
Ngoja sasa nou camp tutawashikisha adabu, najua mtakuja na visababu vyenu hapa.
Tena wakwanza ICEMAN hachelewi kusema ivo.
utaziona camp nouSijaona mbeleko kwa jana
jumatano watamwaga sana povu humuWe waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa football
Offside zao ,handballs zao zote tumeziona na kuamua kutulia kimya
JITAHIDI MTANISiku hizi ukiona Real Madrid kaingia nusu fainali ujue anabeba kombe. Wewe huwezi kucheza nusu fainali ukiwa nje ya mashindano.
juzi kati na Malaga tumenyimwa penati ya waziwazi. kuna mchezo wameamua kutuchezea. Neymar wamemsuspend mechi tatu za ligi na atakosa el clasico.We waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa football
Offside zao ,handballs zao zote tumeziona na kuamua kutulia kimya
you wish!!!JITAHIDI MTANI
SAFARI HII COMEBACK NI KWAKO SEMI FINAL

Kuna faulo alichezewa 'S Roberto na manzukic (baada ya kwanza wote kupewa yellow ), refa akapeta na ilikuwa ni straight red Card, lakini hata yellow ya pili hakuitoaWe waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa football
Offside zao ,handballs zao zote tumeziona na kuamua kutulia kimya