FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Match bado mbichi...hata sistuki magoli yote ya Juventus hamna ufundi wowote zaidi ya uwezo tu wa yule dogo Dyabala
 
Kwetu sisi Barca tunawafikishia ujumbe match iko bado half time mbichi sana So Boys we know what we gonna do na mwisho wa msimu kuna takataka tunazisafisha mule first 11
 
roho inaniuma sana yani tumekosa magoli ya wazi na rahisi kufunga yule matheus angekaa nje jitu zito kama zege
 
Barca kam mnyama ni mbogo anapojeruhiwa utaijua tu shughuli yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom