FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1477149379038.png
za half time. Umtiti namkubali sana
 
Hatujabebwa hata kidogo
ni makosa ya refa na siyo kitu common kututokea. goli la kwanza linabishaniwa offside sababu Suarez aliruka, Busquets alipaswa 2 yellow na Umtiti alipush kwenye box. lakini vyote ni controversial. ila point tatu za leo zimefurahisha sana.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom