everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kausha basi Red Giantyaani everlenk unashangaza sana. mwanaume anayekutunza kwa kandanda safi, magoli na vikombe umemuweka mchepuko na kuolewa na mtu hana hata swagga, cheki alichofanya this monday! PNC 1 naomba muite jackline amshauri, labda wadada kwa wadada wataelewana.
!!!...... soka nilianza kulipenda Spain ila fitina na mbwembwe za England zanivutia zaidi nikajikuta nimetua huko....
acha mboyoyo ww..
let lead love