Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
Safi sana WANAUME....Barce 2- 0 Betis dkk 85
Nilikuwa naongea ktk simu, dah! Ila barca catalunya derby hatoki!Umepiga chafya tena nini
Madrid kwa valencia je?Nilikuwa naongea ktk simu, dah! Ila barca catalunya derby hatoki!
Catalan derby ni nyepesi sana angalia history inajielezaNilikuwa naongea ktk simu, dah! Ila barca catalunya derby hatoki!
Nipe head to head ya mechi 10 zilizopita kati ya Barcelona vs AtleticoBarcelona na Bayern Munich ni urojo tu kwa Atleti