[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu nilikuwa nakutafuta kila jukwaa ila sikukuona japo aliyekupa ban ni mod mwenzangu kwa lugha zako chafu[emoji13]Halafu we PNC 1 sijui Una undugu na hawa moderators wa humu! Maana siku hizi ban zinaniandama Sana. Na mfungwe tu Espanyol