FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wachezaji wote wa Barca jana hotelini kwao wamelala katika Oxygen tents-tegemea leo Madrid kehenyeshwa uwanja mzima
 
Nadhani umekosea nyumba mkuu.....hatujawai kufiwa na hatutegemei kufiwa
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!

marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,

Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
 
Aya kung'uta miguu yako usepe.
 
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!

marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,

Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
In football anything can happen,but formwise soccer la Barca liko miles ahead,endapo Madrid watashinda itakuwa 8 wonder of the world
 
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!

marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,

Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
marehemu ni yokobus anayeshika nafas ya 10
 
In 2 hours time blanket ban inaanza on all Barca players kutumia social media-hawatakiwi kuwa distracted sababu the task facing them is gigantic.Hapa Barcelona wapenzi wanadai ushindi chini ya goal 3 ni sawa na kufungwa.Neymar amewajibu kwa tweet-tumikusikieni
 
ila Barcelona rahaaaaaaaaaaaaaaa As ante Mungu kwa kunifanya niishabikie Barcelona nikitafakar endapo ningekuwa nashabikia epl cjui sura yangu ningeiweka wapi Kiukweli Tunapaswa kujivunia kwa kuishabikia Barcelona
 
game hii inachezwa mda gani kwani kuna sehemu naona inacheZA SAA 23:05
 
ngoja niwacheki dortmund kama apetaiza kama ya mlo wenyewe hapo baadaye.
 
Wakuu hapa Barcelona, Spain ndani ya Camp Nou si mchezo. Kuna shamrashamra za hali ya juu saaaaana.

Nipo nje na wakatalunya naangalia wanavyoburudika, kila mmoja anafuraha ya ajabu na akitegemea ushindi mnono. Mimi na mwenyeji wangu bado tunapata vinywaji, tunasubiri muda wa kuingia ndani ya uwanja ufike ilo tuingie.
 
viva Barcelona
 
Hakuna fan humu mwingine ambae atakuwepo Camp Nou, Jackline ushafika uwanjani mama?
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom