FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We sio mchambuzi, embu tulia sasa. Nilitaka nikuunganishe na Azam Sports HD ila nakuona hamna kitu.
mpeleke clouds kwa shafih dauda ndio watapatana wote hawampend King
 
Ahaahahahahahahahahahahahahaha!!!

Yaani wewe mdada una maneno, nikisoma comment zako sometymz huwa nacheka tuu.
Hata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaa Ubarikiwe bibie
 
Hata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaa Ubarikiwe bibie
Ahahahahahahahahahahahaha!!!!

Barca kuna warembo wana swaga kali saaaana, EPL ndo hakuna wanawake wenye swaga. We angalia akina everlenk na cute b

Mtoto wa Spain huyu, kubwa zaidi ni UKAWA pure!
 
Hata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaa Ubarikiwe bibie
Mr wake nipo Hapa nampa data tu halafu analeta uku jf
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaa Ubarikiwe bibie
Mr ni balaa-badala ya kuweka picha za watoto ukutani-yeye kaweka picha za akina MSN-sasa sijui hawa Madrid wakibahatisha ushindi itakuwaje
 
Mr ni balaa-badala ya kuweka picha za watoto ukutani-yeye kaweka picha za akina MSN-sasa sijui hawa Madrid wakibahatisha ushindi itakuwaje
Yani inapendeza sana Baba Barca mama Barca sio unaoa mke yupo man u kiukweli Hongereni ila kesho hatuwez fungwa
 
Magazeti ya Brazil-front page ni El classico-yanasema hii mechi Neymar will come of age kama vintage wine. Brazil cannot wait
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Marcelo is under instruction not to forage upfront-huyu jamaa kweli anaweza kukubali kukaa nyuma tu- Zidane ana wasiwasi counter attack inaweza kumkuta in no mans land
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwani lazima uwe shabik wa baka ndo uchangie kama ni hvo ni s.h. da mm shabik wa yanga
 
pic_2016-04-01_ENTRENO_26-Optimized.v1459534411.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom