PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Man u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja![]()
![]()
duuuh. Kushangilia muhimu hasa kwa misimu hii mitatu ni tabu tu
Man u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja![]()
![]()
duuuh. Kushangilia muhimu hasa kwa misimu hii mitatu ni tabu tu
Umetushusha sana kuwa kama Aston Villa. Ngoja tuone mwisho wa msimu kitatokea nini maana naona huyu lvg anatuzingua tuMan u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja
LVG mjanja sana mnaharibu mechi 5 alaf mnashinda 2 kwa kuwapooza. Kiufup kocha ni jipu kama wengerUmetushusha sana kuwa kama Aston Villa. Ngoja tuone mwisho wa msimu kitatokea nini maana naona huyu lvg anatuzingua tu
Anakuwa kama panya anang'ata na kupuliza ili usisikie maumivuLVG mjanja sana mnaharibu mechi 5 alaf mnashinda 2 kwa kuwapooza. Kiufup kocha ni jipu kama wenger
Anakuwa kama panya anang'ata na kupuliza ili usisikie maumivu
ila uzur timu sio kabila hivyo nakukaribisha NOU CAMPNdugu unataka nibadilishe gia angani au? Hahahaha ngoja nikomae huku huku ila jua kuwa nawaombea njaa game yenu na Real Madrid

Ndugu unataka nibadilishe gia angani au? Hahahaha ngoja nikomae huku huku ila jua kuwa nawaombea njaa game yenu na Real Madrid![]()
![]()
uzur hata ukituombea njaa ushindi lazmaNyie mliwafunga kwao, na wao watawafunga kwenu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
uzur hata ukituombea njaa ushindi lazma
Nyie mliwafunga kwao, na wao watawafunga kwenu
ingekuwa ni hvo Arsenal angetufunga kwetuAcha kufananisha Madrid na wale watoto bhana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ingekuwa ni hvo Arsenal angetufunga kwetu
Ucwadharau Arse8 7bu mara ya mwisho kukutana na Madrid walimpiga palepale kwao BernabeuAcha kufananisha Madrid na wale watoto bhana
na wao arsenal wa sahau ubingwa kabisaNimeupata tutaonana kesho 21:30 mda wa game hiyo
PNC 1 Unajua bhan unapo muombea adui yako apoteze inatakiw na ww ushinde maan na ww ukipoza na walioko chini yako nao wanakuombea upotezeee ili wakabe nafac yako da! Kwel ligi kuu ya EPL ni hatariii
uko sahihi mkuu yani wanawaombea wenzie mabaya wakat wao wanafanya vibaya