FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

yule ni mkula akikutana na mess way
Samahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
 
Samahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
MSN inamchanganya huyo sio bure
 
Namuondoa westham na man city. Man united itashika namba 4 trust mimi
city Huyu Huyu aliyekupiga 6 ha haaahaaahahaaahaaaa. Mkuu jipangeni kwa msimu ujao msilazmishe mambo wakat msimu ushawatupa mkono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom