Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
Turan out, mascherano ndani
Dkk 65 Bar 2-1 Sev
Dkk 65 Bar 2-1 Sev
hongereniiinakusaka bao![]()
kawaida yetu toka mwaka jana unatoa hongera had leo bado hatujapotezahongereniii
2:1 KING,PIQUEMechi imeishaje?
Hii thread ya BARCELONA mambo ya mziki wap na wapiAhsante sana kwa muziki moto moto, umenipeleka mbali sana na ndombolo ninayoisikiliza sasa hivi. Nakenua tu hapa!!!
Shukurani sana.
tafuta thread za yanga na simba ndio uchangieWazee sasa Yanga na Simba, na Tukuyu stars vipi mbona hamuwi wazalendo jamani?
alhamisi ya tarehe tatu (kesho) 5 usiku tunaenda kwa vallecano. jumapili ya tarehe 6 12 jioni tutakuwa kwa EibarWeek hii acha kabisa yaani bado nimezidi kunenepa tu kicheko kila mahali,next Barca anacheza na nani?