Hao inabidi tukikutana nao tuwapige fimbo za kutosha. Tuwashone haswaaaMimi mwenyewe nimeshangaa sana.
Jamaa mbona hatuna noma nao.
Alvarez hata akibaki hawezi kujitoa kwa 100%.
Mashabiki wamemzomea sana game yao na Malaga ingawa hakuwepo uwanjani.
El Cholo anaulizwa kuhusu mashabiki kumzomea Alvarez anakwambia anawaheshimu sana mashabiki wao.
Umemsikia Mourinho uko?Hao inabidi tukikutana nao tuwapige fimbo za kutosha. Tuwashone haswaaaView attachment 3654556
Hivi wewe hua timu gani?
Hivi wewe hua timu gani?
View attachment 3656022
Hawezi kukaa benchi.Tumepiga kuua...
Nisime tu kwamba Yamal toka awe majeruhi kashuka kiwango sana hawazi hata kupiga mtu changa. Benchi linamuita very sooon
View attachment 3655866
Yamkini hado ni ishu ya kimaslahi tu, pale hawanaga desturi ya kusajili kwa bei kubwa, Barthomeu alituharibia ile desturi. Sasa hapo labda wanatikisa kibiriti ili tupande dau au yamkini wameshaona kwa Barca ya sasa haina uhitaji mkubwa wa Alvarez so ni kama ataenda kupambania namba pale Barca.
Daah nilijua wewe ni kolo bwana mbona ungenikoma. Vipi Al Nasir yenyewe hushabikii. Najua unashabikia hizo timu ajili ya Ronaldo.Manchester United,Real Madrid,Yanga
Advantage yetu frontline yote wana intensity ya hali ya juu kuanzia Olmo, Fermin,Raphina,Yamal,Gordon na Adeyemi (Hamza?)Sema wanangu wa katalunya timu tunayo.
Wapinzani wetu wajipange sana.
Jana kazingua sana.Bro since apate majeraha ya dyudyu bado haakaa sawa ni kama mabeki wote duniani washamjulia hapiti kabisa ni mwendo wa backpass,cross hazieleweki jana kacheza kama katoka kwa mshangazi yupo off mood kabisa. Asipo Level up his game lazima benchi imuhusu