FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Scars msimu mwingine natabiri barca kutolewa na inakua 😂.

Lax, hydroxo, loose Nut
Jana Toress alinifanya nilale mapema

Asubuhi nacheki livescore nakuta 1-2

Haki tena nimefurahi sana

Ila ATM wana miyeyusho ya kisenge sana, defense yao siku hizi imekuwa ya mashaka sana. Yakifanyiwa high pressing ni mepesi mno kuchomesha.

Magoli yote mawili ni uzembe wa defense kushindwa kumudu pressing.
 
ATM , hamna team , yule hata kushambulia hawezi, sidhani kama atafika mbali mkuu
 
Mzee wa mbio, kabla game haija isha 😅😂
 
Tena nilikuwa naicheki kwenye PC na mwanangu ambaye ni Madridista mwenzangu

Goli la dakika 4 lilivyoingia tukawa tumekubaliana likiingia lapili kwenye hii 1st half tuzime tu PC
Daaah sijui tungeficha wapi sura zetu kwa fans wa aka katoto lamine nyamal 😅
 
Bado mechi mbili tu tupite hivi na la liga.

Kama tukishinda mechi na osasuna mechi na Madrid itakuwa ya kutangaza ubingwa.

Ikitokea tumeshinda jamaa zetu wameshakataa kutupa guard of honour.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…