Visca Cataluna.Visca barc
Almost ni kajanja janja. Ila Newcastle walivunjika moyo.Daah jana tumecheza hovyo sana.
Jamaa wangekuwa serious wangetufunga hata 3.
Sio mbaya late equalizer ya penati ya Yamal imetuokoa.
Big up kwa Olmo mzee wa ku break tight spaces.
Busu la Kenge
loose Nut
Kabisa japo ni makosa yao kutokufunga goli nyingi.Almost ni kajanja janja. Ila Newcastle walivunjika moyo.
Dogooooo seeeemenyaaaChumaaa.
Raphina.
Mkuu mimi mawazo yangu yote mechi ni saa 5 usiku, nilipoona hii tag yako nikasema nisikurupuke kuijibu ngoja niingie livescore nicheki vizuri ratiba nashangaa nakutana na
View attachment 3559735