FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jumamosi ni kwa ajili ya come back.
Screenshot_20250824-065651_WhatsApp.jpg
 
Ka Moja tu
Barca achukue point 3.
Barca sio timu ya kuifunga goli mbili tena kipindi cha kwanza halafu ushangilie.

Unatakiwa usubiri mpaka kipyenga cha mwisho kipulizwe ndio ushangilie.

Na wawaulize watoto wa simeone.
 
Barca sio timu ya kuifunga goli mbili tena kipindi cha kwanza halafu ushangilie.

Unatakiwa usubiri mpaka kipyenga cha mwisho kipulizwe ndio ushangilie.

Na wawaulize watoto wa simeone.
Wajitahidi wasiruhusu magoli kama hivyo.
Siku itawaponza.
 
Huyu Feran Torres anaboa sana.

Jana kapata 2 clear chances badala ya ku score anambwela tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom