hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,061
- 13,705
India hapa uicheki.Mechi ya leo inaonyeshwa chanel gani
Fawanews.sc
India hapa uicheki.Mechi ya leo inaonyeshwa chanel gani
Barcenyeto
Mara ya mwisho kubeba uefa jf haikuwepo
Walioshinda: Barcelona.Barcenyeto kwa kubebwa
hivi barca ni hawa wanjano au red/blue 😁Kikosi chetu kitakachoanza leo.
View attachment 3450457
Mpila wa ulaya mzuri sana.hivi barca ni hawa wanjano au red/blue 😁
Hatari sana 2_0 halftime, muda wa kulala huuMpila wa ulaya mzuri sana.
Coacher akikaasehemu Moja wanakusoma mbinu
Mpira bado ila.Hatari sana 2_0 halftime, muda wa kulala huu