Pia ukizingatia at time inawezekana na Athletic akawa anapambana kuweza ku qualify UEFA bcoz sasa hivi tu ukiachana yupo nafasi ya 4 lakin haimpi uhakika wa UEFA endapo atazingua match zake bcoz Real Betis bado ananafasi bcoz Athletic na Villarreal wamemuacha point 4 tu....so Barcelona asipokua makini ubigwa utakua bye bye