KUna ule msemo form is temporary, class is permanent Waka muulize haaland au Eden hazard ata waelewesha hilo.
Ni sawa na Madrid ya BBC na hii ya kina mbape inayo pewa hype kubwa, wana kosa Team na class mentality.
kupiga Chenga au faulo 2/3 haku amui mechi, ila kusimama Kama team ndio nguzo pekee.