FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Fatigue mkuu watu wapo hoi mechi mashindano mengi kikosi kidogo
 
Barca wanacheza high line toka msimu unaanza .. Kilichotokea ni kwamba timu nyingi zilikuwa zinanasa kwenye mtego wa kuotea na barca wanafunga sana magoli..
Nusu ya pili ya msimu wamestukuwa.. Mechi nyingi wamekuwa wakiruhusu sana magoli !
 
Inter wali jua Barca ana kuja kutafuta goli la mapema, so mbinu pekee ni kumuachia acheze mpira.

Kisha uki u snatch una tanua winger na kuzi rudisha ndani, lazima Barca pumzi ziwatoke.
 
Barca wanacheza high line toka msimu unaanza .. Kilichotokea ni kwamba timu nyingi zilikuwa zinanasa kwenye mtegi wa kuotea na barca wanafunga sana magoli..
Nusu ya pili ya msimu wamestukuwa.. Mechi nyingi wamekuwa wakiruhusu sana magoli !
Kila mtu alikuwa anafanya kazi ya kustudy high line akifika kucheza na Barca ukishindwa kuchomoa hiyo umefungwa
 
Yamal ni overrated Kama ansu fati tu, wange muacha acheze boli badala ya kumuimbia taarab.

at his age yuko gud, shida expectations ziko high kinyama.
Kabisa yani.

Kwasababu vitu anavyovifanya hata ukiangalia ligi za Bethelem kule home town kwa Yesu watu wanavifanya.

Ila ishu ni kwamba tu vimekosa coverage na promo
 
Izanghi yupo fire,ila machine dk 90
Kweli besti. Pia uzoefu experience. Pia uwanja wa nyumbani na kelele za San sirro. Pia inter inatumia nguvu wako physical hasa Huy de Marco anavyomkaba Yamal aggressive lakini Yamal tumeona amempita mara mbili Kwa akili.

Jinsi ulivyosema DK 90 ama extra time ama penalty.

Naziombea Barca japo siyo shabiki NI kwaajili ya Yamal.

hydroxo

Nyau de adriz
 
Sahii kabisa, physique Barca wameshindwa ,ndo maana malalamiko kwa refa ni mengi mno. Refa hataki ujinga
 
Kabisa yani.

Kwasababu vitu anavyovifanya hata ukiangalia ligi za Bethelem kule home town kwa Yesu watu wanavifanya.

Ila ishu ni kwamba tu vimekosa coverage na promo
KUna ule msemo form is temporary, class is permanent Waka muulize haaland au Eden hazard ata waelewesha hilo.

Ni sawa na Madrid ya BBC na hii ya kina mbape inayo pewa hype kubwa, wana kosa Team na class mentality.

kupiga Chenga au faulo 2/3 haku amui mechi, ila kusimama Kama team ndio nguzo pekee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…