secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,055
- 42,816
Natania tu mkuu.Vp kwani
Natania tu mkuu.Vp kwani
Jipapatueni mfike fainaliIkitokea tukakutana na hawa arsenal fainali, basi itakua mechi rahisi kuliko zote tulizocheza msimu huu!
Wanajipa matumainIkitokea tukakutana na hawa arsenal fainali, basi itakua mechi rahisi kuliko zote tulizocheza msimu huu!
Huna hata uefa mkuu unawaza utufunge fainaliJipapatueni mfike fainali
Kitachowapata hamtaamini
Arselnal kazi kupiga kamdomoHuna hata uefa mkuu unawaza utufunge fainali
Wachezaji wetu wanawaza uefaHuyu jamaa Javi hernandez katumwa kuja kumvunja Lamine