FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Najuta kuacha kuangalia mechi Ile, nilipoona mpaka DK 60 tuko nyuma nikaamua nilale. Nakuja kuchungulia kitu 3, nikakimbia niwashe TV sasa shida ya DSTV mpaka iwake ikawa too late. Navizia sijui lini wataonyesha marudio lazima niangalie michomo ilivyokuwa.
Yamal ni Messi mtoto🔥🔥🔥
 
Cules.

Leo saa tano tuna kiporo chetu na osasuna.

Hii ni game ya kisasi na ni must win game ili tujikite kileleni vizuri.
 
Naombeni mniambie jina la kipa wa Barca linatamkwaje.... Btw naona Raphina yupo nje sijaridhika
 
Pitia www.fullreplays.com

Hapa unapata marudio ya mechi mbalimbali kutoka ligi kubwa na mashindano makubwa.

Mchawi bando
 
Daaaaaaah wachezaji wengi wa Barcelona Wana uchovu wa mechi za kimataifa, na Hawa Osasuna Huwa Huwa wanapata kamseleleko kwa namna hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…