Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,813
Hii game ni ngumu ila tutachukua point 3 muhimu.Atletico wametoka kucheza game ngumu ya UEFA na Madrid nafikiri hii ni advantage kwetu.
Sidhani kama watakuwa kwenye ubora sana kutokana na uchovu.
Kabisa muhimu point 3.Hii game ni ngumu ila tutachukua point 3 muhimu.
adui muombee njaa, hii gem ngumu sana kwa sababu atletico nae anazitaka sana alama 3.Kabisa muhimu point 3.
Mana jamaa zetu wa upande wa pili wanatuombea njaa balaa.
Kabisa nae baada ya kuwa eliminated in UCL macho yake yote ataamishia La liga.adui muombee njaa, hii gem ngumu sana kwa sababu atletico nae anazitaka sana alama 3.
Naamini hivyo pia kikubwa tusiruhusu magoli, atletico tukiwatangulia goli mbili hawarudishi.Kabisa nae baada ya kuwa eliminated in UCL macho yake yote ataamishia La liga.
Nachoamini tukiacha uzembe mdogo mdogo kama wa ile draw ya 4 4 tunawafunga vizuri tu.
Kabisa hii game tuna advantage kubwa sana ya kushinda.Naamini hivyo pia kikubwa tusiruhusu magoli, atletico tukiwatangulia goli mbili hawarudishi.
Madrid hana timu ya kucheza na sisi.Dah! Tumeshinda kwa mbinde sana sema Atletico anapenda kutukazia sio kama akicheza na Madrid....sema hii game ilikua inaamua ubingwa kwa asilimia 65% kwa Barca....sasa kilichobaki hatutakiwi kucheka na hizi team nyingine...ibaki game ngumu na Madrid tu...ili tukimfunga tutangaze ubingwa
huyo ndio habari kuu duniani kwa sasaLamine Yamal.
Umekosa uondo cule mwenzangu.Game ilikuwa ngumu kiasi, nimeangalia first half, jamaa waliziba sana mianya, nimelala nachungulia dkk ya 70 nakuta 2-0 nikasema tumekwisha...I wish ningeamka niione show ya dkk 20 za mwisho! Watoto wapi vizuri sana.