FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

First leg tumewafunga 1 tukiwa kumi uwanjani.

Leo natumai tutawakazia tupate goli za kutosha.
 
Tumetoboa kwenda robo fainali.

Tunasubiri mshindi kati ya Lille na Dortmund.
 
Dortmund katoboa kwa Lille.

Robo fainali tutacheza nao.

Hawa tulikutana nao kwenye makundi tukawapiga.

Mechi itakuwa ngumu lazima wakajiulize.
 
Hey cules.

Leo tuna game ngumu na vijana wa Simeone.

Hii game muhimu sana kushinda tuendelee kujikita kileleni.

Hope vijana watapambana tuondoke na point tatu.
 
Atletico wametoka kucheza game ngumu ya UEFA na Madrid nafikiri hii ni advantage kwetu.

Sidhani kama watakuwa kwenye ubora sana kutokana na uchovu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…