Penalty
Anawatafutia angalau drawRefa hataki kumaliza mpira leo, watacheza mpaka kesho asubuhi
Hata angekuwepo, vipigo vilikua pale pale tuXavi welcome to Laliga no Messi no party
Kosa la Xavi anafundisha sana pressing bila ya kuwa na namna ya kufunga kama timu inalinda Kwa staili yake Laliga itakuwa ndoto kutwaa![]()
Alitaka product ya Lamasia ndio maana alimrudisha Adama na Yule dogo wa Man CityNina pata mashaka juu ya wachezaji anaowataka