Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,544
- 2,999
Niwatishe
Hawa tukikutana nao mext time, wanaweza kukimbia uwanja. Nawatamani sana tupangwe nao next season!
Mimi nasubiri final score nione nasikia atakula 4-2 Kwa mjibu WA Khadija MtalameMnafiligiswa tu huko na Frankfurt
Labda 4-3. Maana wajerumani wanaongoza 3 huku.Mimi nasubiri final score nione nasikia atakula 4-2 Kwa mjibu WA Khadija Mtalame
Tim ilikuwa na morali Tu,lkn makelele kama yotebora hizi kenge zimetoka.
Kenge zilibebwa zaidi ya dakika 10 zote za nyongeza kipindi cha pili daaah....bora hizi kenge zimetoka.


Huu muandiko huu wa #king gwaba kabisa.Yani washabiki wa Barcelona wanavyolalamika utadhani hawajui asili yao ya kuwa Mediocre.
Yani ule upepo was miaka 8 uliowapitia kuanzia 2006 mpaka na 2014 ndiyo wanajiona Timu kuuubwaaaa.
Niwakumbushe tu kuwa hakuna kilichoharibika hapo wala hakuna cha ajabu just mumerudi tu kwenye default yenu ya kabla 2006.

