Sawa madridista tumekuelewaForm ni Temporary
Class ni Permanent
Hivyo ile form ya ya miaka 11 kianzia 2004 mpaka 2015 imeshafika mwisho.
Sasa mumesharudi kwenye default yenu ya mediocre.
Wenye Class Wacha waendelee na class yao.


Duh lewandosky mbona ni uchafuBreaking News Tupo katika hatua nzuri na Lewadonsky kuja Nou Camp..na tayari alishawaaga Bayern kuwa hawatakuwa nae msimu ujao
Ww timu gani kwanza?Pension FC kusajili wazee tu
FrankfurtWw timu gani kwanza?
I think we have to strengthen backline,Centre back ataeweza ku pair na Araujo( i prefer koulibaly au kounde) na full back ya kushoto & probably kulia kwa sababu Dest anaweza uzwa.In Frontline Just killer striker pale mbele , Probably lewandowski japo dili linasuasua na winger ataeweza ku create chances na kufunga, kwa sababu dembele anaeza ondoka ila hata ikibaki fine!Kwema humu ndani?
Transition yetu inaenda vizuri, nina matumaini next season tutaimarika zaidi. Just a few transfers, and we're there!
Wapi mwekundu?