Ndio tatizo la kutengeneza miungu watu ktk timu.Baca kuna mchezaji mmoja akiongea kila mtu ana haha. Utadhani Bashite, anapanda kila mtu kichwani.
Barcelona baada ya corona wamecheza hovyo sana
Hebu mpe heshima anayostahili mchezaji bora wa karne..Ndio tatizo la kutengeneza miungu watu ktk timu.
Messi anaigawa timu,
wachezaji hawamsikilizi tena kocha wao wanamskiliza Messi tu.
mmebebwa wazi wazi...
Unayasikia maumivu naona..mmebebwa wazi wazi...
Pamoja na barca kasi yake kupungua lakini yaonyesha jinsi management ya real Madrid walivyoitumia ile break ya corona kuweka mikakati michafu ya kuhakikisha barca anaminywa kwa hali yoyote ile
Kwa aliyefuatilia game za karibuni za real Madrid na game za barca hatopinga hili ..leo tumeshuhudia kwa mara ingine goli assist ya Messi likikataliwa, pia goli zuri la suarez likikataliwa...
Kuna game ya last week goli la Messi pia lilikataliwa, siku hiyo ter stegen akaitoa penati refa akaamuru penati irudiwe ! Tukafungwa penati refa akaridhika
Haya ukitazama mechi za real Madrid kwanza huwa wanakamatwa sana pale sasa juhudi za waamuzi zinaonekana wazi, utashangaa wanapewa penati mfululizo
haya endleeni kumtukuza kiumbe huyo huku akiigawa timu, huku ubingwa wa hispania mmeshapoteza na mnaelekea kupoteza wa uefa.Hebu mpe heshima anayostahili mchezaji bora wa karne..
Hakuna aliyemtengeneza huyu kiumbe kuwa mungu mtu zaidi ya kipaji chake cha kuzaliwa.... Umeiona ile free kick lakini ?
Mkuu sema wanaenda kutolewa UEFA, sio kupoteza ubingwa wa UEFA. Kwani wanao wao??haya endleeni kumtukuza kiumbe huyo huku akiigawa timu, huku ubingwa wa hispania mmeshapoteza na mnaelekea kupoteza wa uefa.
Haya. Hembu rudia kusema hivi bila kulia.mmebebwa wazi wazi...
Pamoja na barca kasi yake kupungua lakini yaonyesha jinsi management ya real Madrid walivyoitumia ile break ya corona kuweka mikakati michafu ya kuhakikisha barca anaminywa kwa hali yoyote ile
Kwa aliyefuatilia game za karibuni za real Madrid na game za barca hatopinga hili ..leo tumeshuhudia kwa mara ingine goli assist ya Messi likikataliwa, pia goli zuri la suarez likikataliwa...
Kuna game ya last week goli la Messi pia lilikataliwa, siku hiyo ter stegen akaitoa penati refa akaamuru penati irudiwe ! Tukafungwa penati refa akaridhika
Haya ukitazama mechi za real Madrid kwanza huwa wanakamatwa sana pale sasa juhudi za waamuzi zinaonekana wazi, utashangaa wanapewa penati mfululizo
Kunywa maji mengi punguza hasirammebebwa wazi wazi...

Bado hamjaimba kwaya vzr..mmebebwa wazi wazi...

Tukiongelea zama hizi hapa duniani timu bora ya muda wote ni Barcelona mchezaji bora wa dunia ni Messi..na hili kila Mtu analijuaMembe ni lowasa alieye changamka.
Barcelona ni Yanga iliochangamka
Tukiongelea zama hizi hapa duniani timu bora ya muda wote ni Barcelona mchezaji bora wa dunia ni Messi..na hili kila Mtu analijua
Sio mbaya tumepoteza na si ajabu ikatokea tusifanye vema kwenye uefa lakini hayo yote yatapelekea kutusukuma kurekebisha mapungufu ktk kikosi
Timu bora kwa kigezo kipi mkuu?? Kupiga pasi au?Tukiongelea zama hizi hapa duniani timu bora ya muda wote ni Barcelona mchezaji bora wa dunia ni Messi..na hili kila Mtu analijua
Sio mbaya tumepoteza na si ajabu ikatokea tusifanye vema kwenye uefa lakini hayo yote yatapelekea kutusukuma kurekebisha mapungufu ktk kikosi
Wakati nyie mkijiita timu bora duniani sisi tutaendelea kuvunja records.Tukiongelea zama hizi hapa duniani timu bora ya muda wote ni Barcelona mchezaji bora wa dunia ni Messi..na hili kila Mtu analijua
Sio mbaya tumepoteza na si ajabu ikatokea tusifanye vema kwenye uefa lakini hayo yote yatapelekea kutusukuma kurekebisha mapungufu ktk kikosi
Ni trophyless season ndugu. Mwaka huu Messi akinyanyua kwapa basi labda ananusa yake mavuzi tu.