BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Jamani K imekukosea nini?
Nahisi ubingwa ni wenu...japo mmejaza wazee kama nyumbani..
Mimi sio Madrid mkuu ila Barcelona imeozaNahisi ubingwa ni wenu...japo mmejaza wazee kama nyumbani..
Acha tumalize msimu without any troophy labda board ya barca ndo istashtukaHuu ubingwa tunaeza nyang'anywa wazee..
Mambo ni ngumu ..tufanyeje?
Hapana, kumbe wewe hujui kinachokwamisha barca, Anaefanya barca isiendelee ni messi leo hii messi akiondoka pale barca itarudi katika uimara wakeBodi ya usajili imejaa utitiri kwanzia abidal na wenzie, hawafai kwendelea..na ifike mahala uongozi umpatie Messi jukumu linalohusu swala la "usajili" anaowataka yeye...
Kwanzia Foward, kati pale and all defenders fukuza kabisa....wabakie, Ansu, Puig, Lenglet, De jong..Bousquets and Braithwaite though umri nao umewatupa ila si haba, still wanajituma.
Dili la Lautaro sijui ndio limekufa hivyo! Huyu angetufaa sana sana...ana speed, nguvu, dribbling...ni striker aliekamilika hata umweke pembeni jamaa anakiwasha tu...
Mkuu kwahiyo Baca kajaza vijana sio?Nahisi ubingwa ni wenu...japo mmejaza wazee kama nyumbani..
Mpaka mtakapojua kwamba tatizo ni Messi ndo mtaanza kujenga upya timu.
Sasa hivi tulieni hivyo hivyo akili ziwaingie.
Niliwahi kusema Messi auzwe imetosha ni moja ya watu wanaoigawa timu.
Unahitaji kuwa na akili za babu Ferguson kuweza ku-manage aging stars na kuhakikisha kwamba wanapunguziwa majukumu kadri umri unavyosogea.
Otherwise unajikuta uko kwenye wakati mgumu kama huu.
Barca haina sauti mbele ya huyu mwamba, ni kama imewekwa mateka.
Xavi na Iniesta muda ulipofika busara kubwa ilitumika na wao wakapisha, hawakuwa wabinafsi na waliweka maslahi ya timu mbele.
Messi ni mbinafsi.
Kabisa mkuu na ndo maana hata mastaa wanaokuja wanafeli sana lazima umlambe miguu ili uwe na maisha pale...nawapongeza Real Madrid walikataa huo upumbavu kwa Ronaldo japo wameyumba lakini unaona wanarudi kwenye nafasi yao.....
Tuendeleeekupigwa tu tena vipigo vya Mbwa koko mpaka akili ikae sawa.
Kila zama na wakati wake, wengine enzi za Maradona hawakuwa wamezaliwaNan unamlove kati ya awa, Messi, Maradona na Cr7
Hivi baada ya ney kuondoka ni nani ambaye unahisi alikua mbadala wakumuweka?Kabisa mkuu na ndo maana hata mastaa wanaokuja wanafeli sana lazima umlambe miguu ili uwe na maisha pale...nawapongeza Real Madrid walikataa huo upumbavu kwa Ronaldo japo wameyumba lakini unaona wanarudi kwenye nafasi yao.....
Tuendeleeekupigwa tu tena vipigo vya Mbwa koko mpaka akili ikae sawa.
Muda ukifika nature itachukua mkondo wake, sasa hivi acha wapambane kwanza.
Hawako pabaya sana ingawa hawako kwenye level tunayotaka kuwaona nayo.