Mkuu swalaamaaa
Hamna namna inabidi nirudi tu mazima pamoja na ugumu wa shule ,maisha halafu JF walizingua notifications zilikua hazifiki etc
Jamani eeeh mmeona zile crosses na magoli anayofunga Messi ?am so excited kuwaona blaugrana wanarudi leo halafu najipa hope naiona laliga ,UEFA camp Nou ,ile ndoto ambayo haiukutimia mwaka Jana kwa ujinga wa Velverde inakuja....
We need to play complex football especially kwenye transition na tackling ,yale magoli ya ki_fala nadhani yamefanyiwa kazi ,katikati pia akina Mello,Busquets ,De Jong ,Rakitoc,Vidal sio kila kazi anabebeshwa tu Messi
Kocha needs to capilize abilities of every play and achieve synergies
Natamani tucheze match na team wao waguse mpira dakika 2 tu kila baada ya nusu saa ,our play is sorely based on possession we can't deny the fact
Siku njema
Lautaro Martinez ni mashine Mbadala wa Naymar Jr..... Mbona watakoma..
Ohooo! Tena jana nilivyomuoana amenyoa nikasema si ndo yule kwa kipindi kile wa 2010Kumekucha the guy's, Mfalme wa soka huyoo, amerudi yulee wa 2010 [emoji3] katoa assist 2 goli 1...
Hivi kati ya lautaro martinez na Aubameyang? Mimi kwa upande wangu naona auba yupo vizuriWelcome Lautaro, km ni jembe tu mmelamba
Hivi kati ya lautaro martinez na Aubameyang? Mimi kwa upande wangu naona auba yupo vizuri
Bora ziendelee kuwa tetesi [emoji21][emoji29][emoji29]View attachment 1487092
Hili deal silikubali kabisaPjanic ni bora zaidi ya uyo mbrazili,, sema tu umri umeenda
Hili deal silikubali kabisa
Arthur tulipigwa pale ni average playerHujamfatilia tu, ana vi2 vingi arthur hanavyo
Laurtaro wa kawida barca DNA ni mtu kama firiminhoLautaro anavitu vingi auber hana, isitoshe umri mdogo wakat auber umri umeenda.
Arthur tulipigwa pale ni average player
Kwahiyo unaafiki pjanic aje licha ya uzee...Pjanic ni bora zaidi ya uyo mbrazili,, sema tu umri umeenda