Tulia bwana mdogo ... kama huna hojaNilichogundua hili picha linaogopwa sana humu. Naomba mniwie radhi kwa kuwapa kumbukumbu chungu kwenu ila ndio mpira huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teeh..mzee pole sana. Kwenye mpira hakunaga kubahatisha. Halafu ukiongelea swala la wachezaji mbona hata sisi mwaka 2004 kama sikosei tuliwapiga mkiwa na majembe yote. Messi, Bosquet, Iniesta na Xavi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupoteza kumbukumbu kawaida ni basi tu sikutaka ku google kama wewe.Kumbe ushapoteza kumbukumbu mkuu southMessi hakuwepo katika icho kikoc,,,,Kipindi icho walikuwepo wakina etoo, iniesta, deco na gaucho. Messi wa 2005 na kwendelea mucngeweza kutoboa. Messi 1=nusu ya Barcelona ya kipindi icho.
Vikoc vifuatavy vilivocheza
Chelsea: 1-Petr Cech; 20-Paulo Ferreira, 6-Ricardo Carvalho, 26-John Terry, 13-William Gallas; 4-Claude Makelele, 8-Frank Lampard, 10-Joe Cole; 11-Damien Duff, 22-Eidur Gudjohnsen, 9-Mateja Kezman.
Subs: Cudicini, Johnson, Smertin, Geremi, Parker, Huth, Tiago.
Barcelona: 1-Victor Valdes; 2-Juliano Belletti, 5-Carles Puyol, 23-Oleguer, 12-Giovanni van Bronckhorst; 6-Xavi, 14-Gerard, 20-Deco; 24-Andres Iniesta, 10-Ronaldinho, 9-Samuel Eto'o
Subs: Jorquera, Giuly, Maxi Lopez, Sylvinho, Fernando, Albertini, Damia.
Referee: Pierluigi Collina (Italy)
Tupo mkuu hatuna pakwenda tunasubiria tukamilishe msimu kwa kuchukua UEFA na La LigaAm back ,sijui notifications zimerudi?
Wakuu salama ?mpo?
Barca_blood we win or we lose ,no plastic fans
Am back ,sijui notifications zimerudi?
Wakuu salama ?mpo?
Barca_blood we win or we lose ,no plastic fans
Teeh..mzee pole sana. Kwenye mpira hakunaga kubahatisha. Halafu ukiongelea swala la wachezaji mbona hata sisi mwaka 2004 kama sikosei tuliwapiga mkiwa na majembe yote. Messi, Bosquet, Iniesta na Xavi.
Sent using Jamii Forums mobile app
I love Barcelona, messi juuuuuu