Wakuu mmeskia majibizano ya Messi na bosi wake abidal?
Noma
Umeangalia mpira au umesimuliwa Mr mburulaClub Athletic Bilbao Imewafundisha soka leo bado UCL mpigwe 4 zingine.
Hahahahahahahahah
Club Athletic Bilbao Imewafundisha soka leo bado UCL mpigwe 4 zingine.
kwa hyo mmeupiga mwingi eee hapa tunaangalia matokeo kama ingekuwa kucheza n ushnd mngefuzu safar hii hampat kombe lolote labda mliibe
Wakuu mmeskia majibizano ya Messi na bosi wake abidal?
Noma
Abidal alisema kuwa kipindi valvede yupo wachezaji hawakuwa wanajituma makusudi tofauti na sasa..
Tatizo sio Messi tatizo ni mfumo Wetu umekuwa outdated huwezi kumchezesha griezman tik taka akaelewa. team zimeshatusoma tubadilisheNajua mtanibeza ila ukweli messi anapaswa kuuzwa na mastaa wote wa zamani ili zije damu mpya...kwa mfumo ulivyo kila kocha lazima ataacha mifumo yake ili ajenge timu kupitia messi na ndo maana makocha wengi wanafeli bora auzwe timu ijengwe upya kitimu na si kupitia messi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hyo mmeupiga mwingi eee hapa tunaangalia matokeo kama ingekuwa kucheza n ushnd mngefuzu safar hii hampat kombe lolote labda mliibe
Sent using Jamii Forums mobile app