khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,148
- 1,076
Griezman,mfumo wa Barca hauwezi-itapendeza kama PSG wakimchukua January na kutupa Neymar wetu
team haina muunganiko kabsaSkuiz tunashinda kimungumungu tu ..
Coutinho naye Bayern washaanza kupiga kelele,hapo pia tutamlaumu VelverdeTatizo sio griez.... tatizo n mfumo mbovu wa coach....valvede has to go....
Coutinho naye Bayern washaanza kupiga kelele,hapo pia tutamlaumu Velverde
tuna msimamizi wa mazoezi na mechi tu hatuna kochaAs usual
Messi masterclass
EV disasterclass
Dembele anapiga sana nyetoMessi messi messi...
Huyu Dembele naona ndio basi tena maana jana imebidi alie machozi alipokua anatoka baada ya kujitonesha majeraha
kanapiga nyeto sana ako katotoDembele what a waste of talent-speed,use of both legs but always ends up in blind alleys
Ulivyo rudia rudia lazima itakuwa unakapigisha hiyo kitukanapiga nyeto sana ako katoto
Tutawapiga maboya waleWell here we go again- TONIGHT i think Griezman comes of age. Hakuna namna Barca for once this season will perform on an away game.
Griezman,mfumo wa Barca hauwezi-itapendeza kama PSG wakimchukua January na kutupa Neymar wetu
PSG nasikia leo wametoa tamko la kumwacha free Neymar Junior msimu ujao hii yaweza kua faraja kwetu tumuombee tu asiandamwe na majeruhi