Sina iman kabisa na Griz kuna muda mpaka unawaza yupo au hayupo
Dembele ndo makalio kabisa anachenga nyingi ila mwisho wa siku anapoteza mpira
Ansu fati safi alijitahid kwa muda mchache alioingia
King leo haina haja kuongea tuliona namna alivyo tafuta nafasi za kufunga
Grienzmann ameshanyanyapaliwa kumbeKwamba hana tofaut na hazard wa RM
Ila swala la griz kunyanyapaliwa sio la kubeza kabisa..
Messi-suarez friendship unaigharimu timu sasa
Mimi sion haja ya kuwalaumu wachezaji kwa sasa mpaka huyo clown anaeshikiria kijiti atimuliwe
Tatizo ni kocha kama alishndwa kumtumia Denis Suarez akashindwa kumtumia coutihno tusitarajie jipya grzmanI have always had doubts on Griezman-mfumo wa Barca hauwezi
Griz off the ball movement zake ni poor,afadhali Dembele at least you know yupo-Griz ni marksman but he seems to be at the back most of the time. Hii game naamini Suarez would have scoredSina iman kabisa na Griz kuna muda mpaka unawaza yupo au hayupo
Dembele ndo makalio kabisa anachenga nyingi ila mwisho wa siku anapoteza mpira
Ansu fati safi alijitahid kwa muda mchache alioingia
King leo haina haja kuongea tuliona namna alivyo tafuta nafasi za kufunga
Professorrrrr, huyu mtu wa Avatar yako ni hatari mno.wapi!
La Liga na Copa del rey tunaweza tukabeba ila kwa mwendo huu Uefa bado sana.Barca mwaka huu ikipata kikombe chochote itakua kwa neema tu,huwezi wazingua watu waliokua tayari kutolipwa stahiki zao ili ney arudi then unawaangusha.Pesa ya griezman wangeongeza wangempata neymar...wanamuangusha Messi kushinda balloon....!
Duh
Mbona tumeususa uzi namna hii
PSG nasikia leo wametoa tamko la kumwacha free Neymar Junior msimu ujao hii yaweza kua faraja kwetu tumuombee tu asiandamwe na majeruhi