FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Round mtakayotolewa kwenye UEFA this season mtatoka kwa aibu sana.

Anaziona tena saba za Bayern Munichen
 
Away form yetu is nothing to be proud of-Suarez gets more goal scoring opportunities then any striker in world soccer,the worrying trend he now tends to bury the hard ones and misses the easy ones.Only Messi and Stergen are consistent..Semedo has yet to master the art of the killer pass
 
Wafaransa maselfish sana kwa Messi sijui aliwakosea nini tu...Griezmann na mwenzie dembele nimewacheki mwanzo mwisho wanambania sana Messi kumpa pasi...wangejua Messi ndie anawaokoa alafu wanaleta ufaransa wao hapa! Pumbafu kabisa
 
Hatuna defences ya maana...kule mbele nako uozo tu, Griezmann anamnyima pasi Messi, kaingia dembele mfaransa mwenzie nae hivyo hivyo anambania pasi Messi, analazimisha chenga badala yake anapoteza...
Ndo maana Messi anazungumza sana kuhusu Neymar kurudi Barca.
 
Wafaransa maselfish sana kwa Messi sijui aliwakosea nini tu...Griezmann na mwenzie dembele nimewacheki mwanzo mwisho wanambania sana Messi kumpa pasi...wangejua Messi ndie anawaokoa alafu wanaleta ufaransa wao hapa! Pumbafu kabisa
Hii haiwezi kuwa kweli bana-tatizo when things are not going smoothly as anticipated hata passing the ball uwa tatizo.
Huwezi mnyima mpira Messi wakati unajua fika the ball at his feet anything can happen
 
Hatuna defences ya maana...kule mbele nako uozo tu, Griezmann anamnyima pasi Messi, kaingia dembele mfaransa mwenzie nae hivyo hivyo anambania pasi Messi, analazimisha chenga badala yake anapoteza...
mahaba yatakuua
 
Ili kumtumia Grienzmann Barca itajikuta inalazimika kubadili Mfumo kutoka mfumo Wake wa miaka mingi wa kuwa na mshambuliaji wa kati mmoja ktk 4-3-3 kwenda hadi washambuliaji wa Kati wawili 4-4-2 etc au 4-2-3-1 kabisa
 
Wanangu wa barca mambo yanaendeleaje uku ...nimewatupa sana kwa sababu Chelsea kwa sasa tuko vizuri ...ila bado Barca na chama kubwaa ...La pulgaaaaaaaaaaaa

Leo tuko na mbuzi gani tule bila kumchinja....
 
Welcome to
Duta's LIVE game coverage

Barcalona vs RealMadrid

Barcalona
1 Ter Stegen
20 S.Roberto
15 Lenglet
3 Pique
18 Jordi Alba
8 Arthur
5 Sergio.B
21 De jong
10 Messi
9 Suarez
17 Griezmann

RealMadrid
1 Courtois
2 Cavajal
4 Ramos
6 Varane
23 F. Mendy
8 Kross
14 Casemiro
15 Valvarde
11 Bale
9 Benzema
7 Hazard

Game begins in 2 mins!



Barcalona vs RealMadrid
Score: 0 - 0
Mins: 1


Barcalona vs RealMadrid
Score: 1 - 0
Min: 2

Goal!!!!!
Messi

Barcelona


Barcelona vs RealMadrid
Score: 2 - 0
Min 7

Goal!!!
De jong

Barcelona


Barcalona vs RealMadrid
Score: 3 - 0
Min: 14

Goal!!!
Messi

Barcalona


Barcelona vs RealMadrid
Score: 4 - 0
Min 25

Goal!!!
Griezmann

Barcelona

Red card to Sergio Ramos
Real Madrid
Min:27

Barcelona vs RealMadrid
Score: 5 -0
Min: 28

Goal!!!
Messi (pk)

Barcalona

Subtitution RealMadrid
Nacho
Hazard


Barcelona vs RealMadrid
Score: 6 - 0
Min: 42

Goal!!!
Lenglet

Barcelona


Barcelona vs RealMadrid
Score: 6 -0
Min: 45

Half time!!!!!


Barcalona vs RealMadrid
Score: 6 - 0
Mins: 46

Second half begin

Subtitution
Ansu Fati
Griezmann

Barcalona

Rakitic
Arthur


Barcalona vs RealMadrid
Score: 7 - 0
Min: 54

Goal!!!
Ansu Fati
Barcelona


Subtitution
Vinicious
Bale

RealMadrid


Barcalona vs RealMadrid
Score: 8 - 0
Min: 64

Goal!!!
Rakitic
Barcelona

Subtitution
Vidal
De jong

Barcelona

James
Valvarde

RealMadrid


Barcalona vs RealMadrid
Score: 9 - 0
Min: 71

Goal!!!
Suarez

Barcelona


Barcelona vs RealMadrid
Score: 10 - 0
Min: 83

Goal!!!
Own goal Courtois

Barcelona

Barcalona vs RealMadrid
Score: 11 - 0
Min 90+2

Goal!!!
Pique

Barcelona


Barcelona vs RealMadrid
Score 11 - 0
Min: 90+4

Match over

18 December 2019
LOADING.....
12PM
 
Naomba link ya group
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…