Wakuu salama?PRAISE TO DE JONG
Yale mambo aliyoyafanya jana hata mwenyewe sijaelewa yaani tactically ,Jamaa all over the pitch alikua anaonekana sio kwenye kukaba ,kushambulia wala ku win mipira
Kuna muda niliona anacheza kama beki 4 (tukiwa tunashambuliwa) hii ilileta balance kwa Umtiti na Lenglet (central defence ) kuna muda nilimuona katikati anasuka Mipango na ku press kwa opponents hii ilimletea relief kwa Arthur Mello na Busquets ,
Kuna muda nilikua namuona right wing akichezana Messi kwa ku switch position yaani Messi anaingia ndani (kama kawaida yake ) na space ina be occupied na De Jong kama right winger ....,alishangaza zaidi kuna muda Semedo anapanda kushambulia De Jong anakua ame occupy position ya RB (praise to him)
Kuna time mpira ukiwa upande wa kushoto ..Griezman anaingia ndani (katikati ),De Jong anakaa higher position ya Alba (Inverted LB) Halafu anachonga passes kwa Alba (anakuwa winger) za kwenda kushambulia
Kwenye transitions of balls tukinyang'anywa namuona mpira unakua mbele yake kufanya tackling ...aisee very interesting inailetea team balance especially wakati tunashambuliwa na kutengeneza mipira
Praise to him naona sasa Velverde ameanza kumtumia ipasavyo kijana
Halafu..hivi Umtiti aliumia kweli?Zile curved passes alijifunza lini?[emoji1787][emoji1787] ,yeye na Busquets wananyanyua passes juu hadi zinawafikia akina Messi na Griezman ...this time team ambazo zina press sana wajiangalie mno....
WE ARE COMING FOR TREBLE
ngoja tuoneWakuu salama?PRAISE TO DE JONG

Napinga mkono hoja hiiNi heshima kubwa sana kwa Messi endapo namba yake hatapewa mtu mwingine...so Kwa mtazamo wangu makamanda wangu namba 10 asipewe mtu mwingine...ibakie kama kumbukumbu kwa mfalme huyu!
I think hii jersey wachezaji wajao wataiogopa-expectations ukivaa hii No zitakuwa kubwa sana-yardstick aliyoweka Messi ni hurdle ambayo sio rahisi kuivuka.Napinga mkono hoja hii
hakuna haja ya kustaafisha jezi wapewe vijana hiyo jezi
Yaani ukimfikiria tu Messi na records zake unaweza ukajihisi kinyesiI think hii jersey wachezaji wajao wataiogopa-expectations ukivaa hii No zitakuwa kubwa sana-yardstick aliyoweka Messi ni hurdle ambayo sio rahisi kuivuka.
Yaani ulimfikiria tu Messi na records zake unaweza ukajihisi kinyesi
Wakuu salama?PRAISE TO DE JONG
Yale mambo aliyoyafanya jana hata mwenyewe sijaelewa yaani tactically ,Jamaa all over the pitch alikua anaonekana sio kwenye kukaba ,kushambulia wala ku win mipira
Kuna muda niliona anacheza kama beki 4 (tukiwa tunashambuliwa) hii ilileta balance kwa Umtiti na Lenglet (central defence ) kuna muda nilimuona katikati anasuka Mipango na ku press kwa opponents hii ilimletea relief kwa Arthur Mello na Busquets ,
Kuna muda nilikua namuona right wing akichezana Messi kwa ku switch position yaani Messi anaingia ndani (kama kawaida yake ) na space ina be occupied na De Jong kama right winger ....,alishangaza zaidi kuna muda Semedo anapanda kushambulia De Jong anakua ame occupy position ya RB (praise to him)
Kuna time mpira ukiwa upande wa kushoto ..Griezman anaingia ndani (katikati ),De Jong anakaa higher position ya Alba (Inverted LB) Halafu anachonga passes kwa Alba (anakuwa winger) za kwenda kushambulia
Kwenye transitions of balls tukinyang'anywa namuona mpira unakua mbele yake kufanya tackling ...aisee very interesting inailetea team balance especially wakati tunashambuliwa na kutengeneza mipira
Praise to him naona sasa Velverde ameanza kumtumia ipasavyo kijana
Halafu..hivi Umtiti aliumia kweli?Zile curved passes alijifunza lini?[emoji1787][emoji1787] ,yeye na Busquets wananyanyua passes juu hadi zinawafikia akina Messi na Griezman ...this time team ambazo zina press sana wajiangalie mno....
WE ARE COMING FOR TREBLE
Bookmakers Spain uki bet kwamba Messi atafunga goal utapewa pesa kubwa kuliko ukibet kwamba Suarez atafunga goal-in other words Suarez lazima atapata goal hence wanaliwa.
Mjadala umeibuka na ume divide opinions-
Je Suarez ana bahati tu?
Je positioning sense yake ndio inamsaidia-
Au ni mchezaji mzuri?
Kitu kimoja wote wanakubaliana-Suarez atafikisha goal 20 bila wasiwasi na hence haiwezekani kuwekwa bench.
Mnakubaliana na huu uchambuzi wa gazetti la "Le Mundo"?
Uki bet kwamba Suarez hatafikisha goal 20,unalipwa pesa ndefu-cause bookmakers wanajua fika watakula hela yako.Anafikisha 20 msimu huu
Uki bet kwamba Suarez hatafikisha goal 20,unalipwa pesa ndefu-cause bookmakers wanajua fika watakula hela yako.
Huyu Umtiti majeruhi tena? Whats happening
Toa busquets weka De Jong, kati pale weka De Jong, Arthur na Rakitic au hata na vidal.Kama kuna M2 nilikua Sina mashaka na uwezo wake na sitakua na mashaka nae kbs maana najua Ni mchezaj mzr na mwny akil ya mpr basi ni DE Jong.. Dg anatumia sna akil na ndio Aina ye2 ya wachezaj
Doooh, ni mbali mno.Sasa rasmi el classico ni Jumatano ya 18th December....baada ya kikao cha leo.
Uwepo wa busi utategemea na mechi ikoje.. ni nToa busquets weka De Jong, kati pale weka De Jong, Arthur na Rakitic au hata na vidal.
Hapo kati hapakuwa na watu wa kupaka rangi mpira.
sio kosa lako kumtukana proffesor bus tatizo akili yakoToa busquets weka De Jong, kati pale weka De Jong, Arthur na Rakitic au hata na vidal.
Hapo kati hapakuwa na watu wa kupaka rangi mpira.
Mkuu umepotea, hamna backbone pale, busquets kwa soka la sasa haendani nalo.Uwepo wa busi utategemea na mechi ikoje.. ni n
Backbone ya timu haonekani lakini wataalam wa soka wanaelewa anachofanya kati pale