Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,471
Safi kabsa mkuu sioni haja ya kistaafisha jeziJersey haiwezi kustafu hasa namba 10, japo heshima ya hiyo jersey inabaki kutambulika..
Number haiwezi badilika isipokuwa majina hubadilika...
Jersey ya Messi itatundikwa kama kumbukumbu na watakaokuja watavaa namba 10 wataweka nao history zao...
Kuna namba wachezaji wakizivaa zinawapa motivation mfano 11,10, 9, 8, 7, 6, nk huwezi kuziacha kuzitumia
Messi alikabidhiwa namba 10 na Ronadinho nayeye hivyohivyo kwa heshma ataikabidhi kwa mtu ambaye atadhani anaweza fit na hiyo namba..
Heshima siyo kuiweka jersey isitumike ila ni kuwapa wachezaji wenye sifa za hiyo jersey na kutambua wajibu wao..
Hodii hamani mi mwenzenu shabiki wa Katalunya nipokeeni
Hawa waingereza hawaaminiki hata kdg wakae uko uko kwaoHarry kane,Marcus Rashford could be our target on coming signings...kwa mujibu wa tetesi zilizopo pia jarida moja maarufula sports nchini spain...mbappe nae kagusiwa...possibility
Kane na Rashford naamini kabisa Barca hata kwa free transfer haiwezi kuwatakaHarry kane,Marcus Rashford could be our target on coming signings...kwa mujibu wa tetesi zilizopo pia jarida moja maarufula sports nchini spain...mbappe nae kagusiwa...possibility
Nauungana na ww moja kwa moja.. Wachezaj wa England sio wa kuamin hata kdg wakitoka hapo kwao.. Wanavokuzwa na matarajio ni vi2 viwili tofaut kbs.. Wakae uko uko kwny Vilabu vyaoKane na Rashford naamini kabisa Barca hata kwa free transfer haiwezi kuwataka
Leonel Messi leo kakabidhiwa kiatu chake cha dhahabu. Hiki ni cha sita.View attachment 1235335
Madrid amekataa amesema lbd wabadilishe tareheWakati huo wakatalunia wanaandamana... classico inaweza pelekwa bernabeu
Inasemekana imesogezwa mbele mpaka november 18.Madrid amekataa amesema lbd wabadilishe tarehe
Ndio uwanja tunaopata matokeo mazuri kwa Classico kuliko Camp Nou.Wakati huo wakatalunia wanaandamana... classico inaweza pelekwa bernabeu
Licha ya hivyo.. hii inahusishwa na harakati za kisiasa.Ndio uwanja tunaopata matokeo mazuri kwa Classico kuliko Camp Nou.